Hakiki Usomaji wa Mita Yako
Wateja wote wanashauriwa kuhakiki usomaji wa mita zao kwa kulinganisha na bili wanazopokea.
Ikiwa kuna tofauti katika usomaji wa mita au bili, tafadhali wasiliana na ofisi ya KUWASA kwa ufafanuzi zaidi.