Tanzania Emblem
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAJI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA KIGOMA (KUWASSA)

Karibu KUWASSA

Tunatoa huduma bora za maji safi na salama kwa wakazi wa Kigoma

Huduma Zetu

Maji Safi na Salama

Kwa afya bora ya jamii yetu

Jifunze Zaidi

Usafi wa Mazingira

Tunajali mazingira yetu kwa vizazi vijavyo

Miradi Yetu

Maunganisho Mapya

Pata huduma ya maji safi nyumbani kwako

Soma Zaidi

Lipia Bili

Njia rahisi za kulipa bili yako ya maji

Lipia Sasa

Malalamiko

Wasilisha malalamiko yako kwa urahisi

Wasilisha

Bei za Huduma

Angalia bei za huduma zetu

Angalia Bei
Mkurugenzi Mtendaji

Mkurugenzi Mtendaji

Dr. Christopher Peter Nditi

Karibu KUWASA

Ndugu Mteja mpendwa,

Kwa niaba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma (KUWASA), nakukaribisha katika tovuti yetu rasmi. KUWASA imejitolea kutoa huduma bora za maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira kwa wakazi wa mji wa Kigoma na maeneo yanayoizunguka.

Tunaamini kuwa maji safi ni haki ya msingi ya kila binadamu, na tunafanya kazi bila kuchoka kuhakikisha kuwa huduma zetu zinawafikia wananchi wote kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.

Soma Zaidi
0

Wateja Tunaohudumia

0

Maunganisho ya Maji

0

KM za Mabomba

0

Vituo vya Huduma

Habari Mpya

Tazama Zote

Matangazo

Tazama Zote

Miradi Yetu

Miradi inayoendelea kuboresha huduma za maji na usafi wa mazingira

Mradi wa Amani Beach

Upanuzi wa mtandao wa maji katika maeneo mapya ya mji wa Kigoma.

100% Umekamilika

Ujenzi wa Tank Msimba na Kazegunga

Ujenzi wa matanki na miundombinu ya kuongeza uhakika wa huduma.

70% Umekamilika

Utiaji sahihi mkataba wa ujenzi wa tank

Kuanza kwa hatua za utekelezaji wa miundombinu mipya ya maji.

75% Umekamilika

Washirika Wetu