Tanzania Emblem
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAJI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA KIGOMA (KUWASSA)
28 Jan 2026

Taarifa ya Matengenezo ya Bomba Kuu

Kutakuwa na matengenezo ya bomba kuu katika eneo la Kigoma Mjini tarehe 5-6 Februari.

Maeneo yatakayoathirika ni pamoja na Mwanga, Businde na Katubuka. Wateja wanashauriwa kuhifadhi maji ya kutosha.