Tanzania Emblem
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAJI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA KIGOMA (KUWASSA)
25 Jan 2026

Ratiba Mpya ya Usambazaji Maji

Ratiba mpya ya usambazaji maji kwa maeneo mbalimbali ya Kigoma itaanza kutumika.

Tafadhali tembelea ofisi za KUWASA au wasiliana nasi kupata ratiba kamili ya eneo lako.