Tanzania Emblem
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAJI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA KIGOMA (KUWASSA)
KUWASA Yaendelea Kuboresha Huduma za Maji Kigoma
28 Jan 2026 KUWASA

KUWASA Yaendelea Kuboresha Huduma za Maji Kigoma

Mamlaka imeanza utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji katika maeneo mapya ya mji wa Kigoma.

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma (KUWASA) inaendelea kuboresha huduma za maji kwa wananchi wa Kigoma kupitia miradi ya upanuzi na ukarabati wa miundombinu.