Tanzania Emblem
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAJI MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA KIGOMA (KUWASSA)
Mkutano wa Wadau wa Maji Kigoma Umefanikiwa
20 Jan 2026 KUWASA

Mkutano wa Wadau wa Maji Kigoma Umefanikiwa

KUWASA imefanya mkutano na wadau mbalimbali kujadili changamoto na mafanikio katika utoaji wa huduma.

Mkutano wa wadau uliwakutanisha wateja, viongozi na watumishi wa KUWASA kujadili maboresho ya huduma za maji na usafi wa mazingira.