Mradi wa Amani Beach
Upanuzi wa mtandao wa maji katika maeneo mapya ya mji wa Kigoma.
Mradi wa Aman Beach unatumia maji ya Ziwa Tanganyika na una uwezo wa kuzalisha takriban lita milioni 42 kwa siku.
100% Umekamilika